Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
BEI 150X6 VYUMBA VIWILI SEBULE JIKO KIMARA🔥
NYUMBA KUBWA YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE
JIKO
NA KI DINNING
PUBLIC TOILET NNJE
KODI 150,000X6
INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO CHA SHATA
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI KM 3
MAJI BOMBA LIPO KWA PEMBENI
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 600
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940