Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE #INAPANGISHWA
📍Kimara korgwe
🕓Km 1.8 Kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 700 ukishuka dakika 5 bodaboda 1000 Tu
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko & Danning
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji #InajitegemeaRersve Tank Yake
👉Hiii nyumba fance yake hailazi gari mafund wapo kazini kuimalizia now
🔸Kodi Tsh 300, 000/=x6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
O627977383
&Whatsapp
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁