Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY
#GIPSAM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION #UBUNGO_EXTERNAL_NJIA_YA_MAJI_CHUMVI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747