Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INA PANGISHWA
KODI TSH 450000X6
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO LA MAKABATI
PUBLIC TOILET YA NDANI NA NJE
INA FULL AIR CONDITION
HEATER YA MAJI
CCTV CAMERA
ELECTRIC FENCE
TANK LAKO LA MAJI LITA 3000
GARDEN SAFI
SEHEMU YA KUPUMZIKIA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.30000
NA ULIPIAPO NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
SERVICE CHARGE TSH 30000
What saapp number 0689-547258



















