Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI
----
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
------
Contact
(WhatsApp)
🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0713661530_0783661530



















