Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW STAND ALONE NYUMBA MPYA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE BEBA PESA#350K
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING IPO
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
#0625606710