Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
𝗔𝗽𝗮𝗿𝘁𝗺𝗲𝗻𝘁 𝗻𝘇𝘂𝗿𝗶 𝘀𝗮𝗻𝗮
ZIPO TATU MOJA IPO WAZI
💥KODI YAKE 300,000 × 6
🏘️SIFA ZA NYUMBA>>👇👇
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS
#SEBULE SAFI
#JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER YAKE
#NYUMBA IPO NDANI FENCE
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300
🏘️KARIBUNI SAANA 🇹🇿