Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


📣Inapangishwa KIMARA MWISHO
📍 Kodi Tsh 300,000/= ×6
_
___________
• Vyumba 2 vya Kulala (kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Public Toilet
* Inajitegeme UMEME
* Maji ndani
* Mazingira tulivu
* Ndani ya Fensi
#Umbali wa km2.2 usafiri bajaji 700 ukishuka unaiona nyumba
____dn___
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 300,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
#0753172516