Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐น๐ฟNew House For Rent
#Stand Alone
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 7 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
KODI 350,000 ร 6
*Sebule Kubwa Sana
*Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
*Chumba Kimoja Master
*Jiko Kubwa Zuri
*Public Toilet Nzuri ๐ป
*Luku Independent
*Water Independent &Yanaflow 24HRS
*Tires,Gypsum Na Slide Windows
*Fenced
*Parking Space Available
*Good Environment ๐
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp