Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT 4 KWENYE COMPAUND MOJA 
NA ZIMEKAA MBALI MBALI 
MOJA IPO WAZI 
KODI NI MILIONI 1 MIEZI 6
LOCATION KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD 
SIFA ZAKE 
########
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANA NA TULIVU FULL A/C
SERVICHAJ ELFU 20 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
  CALL/WHATSAPP..O677370515




















