Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABISA HII INA PANGISHWA
KODI 300,000X6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE KUBWA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMEME LUKU YAKO
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2
BODA 1000
BAJAJI 700
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















