Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 280000×3
LOCATION KIMARA MWISHO KM 2.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
SLIDE WINDOW
SECURITY WAYA
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA SANA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347