Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#0625606710
๐ฐKODI 800,000X6
LOCATION:NYUMBA ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 1 TU KWA MIGUU DK 15
USAFIRI MWINGI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO. UKISHUKA DK2 UPO NDANI
HIZI NYUMBA ZINA VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET KUBWA SANA
NYUMBA INA FULL A/C
VYUMBANI NA SEBULENI
AIR CONDITIONER
NYUMBA ZIPO 4 KILA NYUMBA IMEJITENGA PEKE YAKE PEKE YAKE
INA SEHEM KUBWA YA KUJIACHIA
SERVICE CHARGE 15000
KODI :LAKI 8 X MIEZI 6
PIA KUNA PESA YA TAADHALI MWEZI MMOJA
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA NYUMBA ZOTE ZIPO NDANI YA FENSI
NYUMBA YA KULIPIA SIO YA KUSITA