Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


(stand alone) Nyumba hii-inapangidhwa laki-200000/=Kwa Mwezi, laki-2..inavyumba viwili vya kulala, kimojawapo ni master-room, sebule kubwa, diening, Jikon, public-toilet, maji yapo--space-parcking kubwa, (nyumba ina-fensi ya-nyavuu)... Inajitegemea yenyewe....... usalama na uturivu upo wa kutosha...... Nyumba ipo kinyerezi mwisho... Dares salaam... dakika-15 mpaka stendi kwa miguu... Kwa mawasiliano zaidi, simu-no.what app, 0752151589..call...0711819241.follow, dalali Michael,, kinyerezi yote.... Facebook, Instagram, Twitter... YouTube...Kodi ya miezi-6 anachukuwa miezi-6 bila kusahau-dalali hela-yake ya-mwezi mmoja... Sevice-charge-15000/=dalali Michael,,, kinyerezi yote..... napatikana kinyerezi mwisho.....dares saalam... Tanzania...