Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba Mpya Inapangishwa Kinyerezi Mwisho.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme na maji unajitegemea
- Wapangaji wawili tu
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 700,000/= miezi 6.
Muhitaji piga 0688412890.



















