Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni.
- Vyumba viwili (kimoja master) ANAWEKA CHOO CHA KUKAA
- Sebule
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji wawili
- Ndani ya fence
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
Kupelekwa 20,000/= itadumu mbaka utakapo pata nyumba.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.