Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
📣 Inapangishwa MAWASILIANO
📍 Kodi Tsh 330,000/= ×6
_
___________
• Vyumba 2 vya Kulala (vyumba vyote ni Master)
• Sebule
• Jiko la kisasa
* Inajitegeme UMEME
* Ndani ya Fensi
* Parking Kubwa
* Mazingira Tulivu
* Maji ndani
#Ipo Mawasiliano kwenye hii barabara Mpya ya Mwendokasi (Nyumba ya Stand ya mkoa ya zamani)
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 330,000/=
#Kupelekwa kuona ni 20,000/=
#0753172516