Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APATIMENTI YA KIFAMILIA
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 8 KUTEMBEA KWA MGUU
====
SIFA ZAKE
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTAR
SEBULE JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
HAINA FENSI ILA USALAMA UPO
====
KODI 350,000/=X 4
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 20,000/=
========================
KWA MAWASILIANO ZAIDI
#0677370515