Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🔰 Inapangishwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA
📍 Kodi 450,000/= ×6
__
_______
• Vyumba 2 vya kulala vikubwa (Kimojawapo ni master)
• Sebule Kubwa
• Jiko Kubwa
• Public toilet
* Ndani ya Fensi Ziko 2 tu
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Parking Ipo
* Mazingira Mazuri
#Umbali wa Km1 usafiri wa bajaji upo, na ukishuka kwenye bajaji unaiona nyumba
#NOTE: Inakuwa wazi Tarehe 15/10/2024, kulipia ruksa, utaona had ndani tukimkuta mpangaji
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 450,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
№:- 0753172516