Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA ##STAND_ALONE#
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI AFRICANA JUU (Kinzudi)
———————————————————
Note; Nyumba itakua wazi tlh 15 mwezi huu
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala, #Master #Sebule # dinning Jiko,#Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
FencedHouse
Garden
____________
Nione
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812/ WhatsApp
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏