Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(350,000 Γ 4,5,6) π ππππ π πͺππ¦ππ’ π πππ¨ππ¨ππ
APARTIMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STAND
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI Km 1.5
USAFIRI BODA 1000
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LENYE MAKABATI
NA CHOO CHA PUBLIC NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PARKING SPACE KUBWA SANA
=====
KODI. 350,000/= Γ4,5 AU 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300