Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGIAHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MAKABE #300K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet 
KODI 300,000 KWA MWEZI × 6
huduma zote zipo hapo fence na parking uhakika 
Umbali KM 2 kutoka mbezi mwisho 
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0715949085
0782838336




















