Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







STAND. ALONI /NYUMBA NZURI SANA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI
KODI 300,000/=X6
====
INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI STENDI KUU YA MKOA NI DK 8 TUU
KUTEMBEA KWA MGUU
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO LAKUJIACHIA NA CHOO CHA PABLIC
UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179