Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-------------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏