Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HAYA SASA IPO INATAKIWA
#KODI YA 300000X5
IPO #KIMARA_SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA PEMBENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKO MAJI YANAFLOW NDANI MITA YAKO
BILA KUSAHAU HELA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA (UANGALIZI WA NYUMBA)
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
======
IPO WAZI NJOO NA MTEJA
#0785889413🔥🔥