Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(250,000X1) MBEZI MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD BODA ELF MOJA
APATIMENTI ZURI SANA ZA KIFAMILIA
ZINAPANGISHWA
MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI NI KM1 / DK 15 KWA MIGUU TUU...
PKPK 1000/=
=======
✔️VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTA
✔️SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
✔️INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=====
KODI 250,000/=X 1
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/
======
MADIRISHA NI SHATA SAFIIII SANA...
CONTACT US:-
0716223412
0683597453