Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 200000X4/5/6
=====
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
=====
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2
HADI KWENYE NYUMBA
=======
USAFIRI BAJAJI MIA 700
BODA BODA 1000
=======
ZIPO NYUMBA 5
MOJA KUNA MPANGAJI ANA HAMA TAREHE 7
MWEZI WA 5
========
NDIO ITAKUA WAZI
====
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO
CHOO CHA PABILIKI
======
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
=====
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
=====
SIMU
0712656027