Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
0759151524
300,000 x6. INAJITEGEMEA KWENYE FENSI OFA OFA
STENDI ALONI KUBWA SANA
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO MBEZI MWISHO MAGUFULI STENDI
UMBALI KM 1.5 MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala Kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000
Kodi 300,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
Waisasa piga sm
0759151524
0679 956 863