Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HAPA KUNA NYUMBA ZA AINA MBILI MBEZI MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA STAND
➖➖➖➖➖➖➖➖
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUNDI "A"
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
KODI:(360,000X × 6) AU (410,000 × 3)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUNDI "B"
MASTER KUBWA SANAA
JIKO NDANI LENYE MAKABATI
HAKUNA SEBULE
NDANI YA FENCE
KODI:(250,000 × 3)
PIA KUNA MASTER NA JIKO (200,000 × 3)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA:
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI
LUKU YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA LORRY LINAPARK
ULINZI
STORAGE YA MAJI HAPA UHAKIKA KABISA
SHIDA YA MAJI HAPA SAHAU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NB: HIZI NYUMBA UKILIPA KODI UNAKUWA UMELIPA , MAJI HUMOHUMO, ULINZI, TAKATAKA, USAFI WA MAZINGIRA...MLINZI YUPO GETINI MUDA WOTE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact:
0654101710
0787205300