Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KWAMSUGULI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI KM/ 1 KUFIKA
USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 6, AU BODA BUKU MPAKA GETINI
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE JIKO NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIU
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI WAPANGAJI 6 FULL PEVING BLOCK
KODI 200 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747