Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Miganga, Singida


APPARTMENT NZURI INAPANGISHWA 
MAHALI… MIGANGA 
MUUNDO WAKE
… VYUMBA 2  KIMOJA MASTER
…. SEBULE
….JIKO ZURI
… PUBLIC TOILET
 HUDUMA
… MAJI HUSHEI
…. UMEME HUSHEI
…  NYUMBA NI KALI SANA 
NB… INAFAA KWA MTU MWENYE USAFIRI BINAFSI 
KODI 250,000/=. MUDA WA MALIPO MIEZI 3 
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA 
GHARAMA ZA KWENDA SITE 10,000/= 
MAWASILIANO ZAIDI
0620732866
0785720883



















