Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA MPYA KABISA INAPANGISHWA MOSHONO
Ina Room Mbili Zakulala Moja Master
Ina Sebule
Ina jiko kali sana lenye makabati
Ina Parking kubwa
Inajitegemea umeme na Majiiii
Ipo mtaa wakishua sana
kila Mtu ana Tank Lake la maji
kodi 400,000 ilipwe miezi 6
.
Contacts - 0683545452



















