Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


APARTMENT YA BEDROOM 2 MPYA INA PANGISHWA JIJIN ARUSHA MOSHONO KONA
Ina bedroom 2 za kulala
Moja master
Ina sitting room
Ina kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ina heater system
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Ina parking space kubwa
Shead compound
Meter: 400 toka main road
Bei laki: 400000 kwa mwezi
Location moshono kona
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400