Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ina Room mbili Zakulala Moja Master
Ina Sebule
Ina Jiko Lenye Makabati
Ina Parking
Ina Heater System
Inajitegemea yenyewe kwenyeCompound
Ipo mita 100 kutoka lami
Bei 500,000 Ilipwe Miezi 6
.
Contacts - 0683545452
Instagram - dalalidavearusha
.
#arushanationalpark #arushatanzania #houseforrent #dalalidavearusha #dalaliwanyumbazakupangaarusha #dalalidavearusha #njiro