Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Nyegezi, Mwanza


NYEGEZI MAJENGO MAPYAA
NYUMBA INAPANGISHWA
((PEMBENI YA RAMI))
VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))
SEBURE
OPEN KITCHEN
HEATER
R W TANK
CAR SHADES PARKING
GARDEN
BEI MIL 4.5 KWA MWAKA
MALIPO MIEZI 6
0767241001
NB
WATU WENYE MAGARI MAFUPI SANAAAAA ZAIDI YA CROWN PANAWAFAA