Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) KINA KABATI, SEBULE NA JIKO PAMOJA NA STOO.
MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA (TENKI LAKWAKO MWENYEWE), NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
KODI: 180000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.