Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Viwanja Vya Benki.
- Vyumba viwili (vyote master)
- Sebule kubwa
- Jiko
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking
- Water reserve tank
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.