Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Kimanga Jiandae.
- Vyumba viwili
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.