Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
📍LOCATION TABATA MIGOMBANI UKISHUKA KWENYE BAJAJI DAKIKA 7 KWA KUTEMBEA
🏘️VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO
PUBLICE TOILET NDANI
♨️SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA KASHATA WAVU MAJI YANA FROO NDANI UMEME MITA YAKO MAJI MITA YAKO NYUMBA IKO NDANI YA FENCI
💰KODI 300K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
🔝MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝
NAFAURISHA APA MTEJA UKIJA UNAONA MPAKA NDANI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI