Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
STAND ALONE YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA KINYEREZI KWA MAKOFIA
Bei:350,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION:TABATA KINYEREZI KWA MAKOFIA
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Dakika 5 kutoka Main Road
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 2 Vya kulala
📍1 Master bedroom
📍Sebule
📍Mafeni juu
📍Jiko Safi
📍Stoo
📍Public toilet
📍Space parking Car
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️ Stand alone ya kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls:
☎️+255785916587/Whatsp/Call
☎️+255627511524/Whatsp/Call