Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGISHA β TABATA BONYOKWA! π‘β¨
- Vyumba 2 (1 Master)
- Sebule + Jiko
- Choo cha Umma
- Umeme & Maji yanajitegemea
- Water Tank + Paving + Parking
- Dakika 10 tu kutoka Kituo! π
Kodi: 300,000/= (miezi 3)
Service Charge: 20,000/=
Udalali = Kodi ya mwezi 1
π Piga: 0688 412 890
π Ofisi: Tabata Segerea Mwisho Stendi
Fika leo, nyumba inakungoja! π₯



















