Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI ZINAPANGISHWA MPYAAA KABISA
LOCATION: TABATA KIMANGA NJIA YA MACHIMBO
HAPA ZIPO NYUMBA TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI KIDOGO
(A)VYUMBA VIWILLI VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE JIKO LINAFUNGWA MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI (400K X6)
B)VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE PUBLIC TOILET YA NDANI HAKUNA JIKO NYUMBA KUBWA HEWA SAFI NA INA NAFASI (350K X6)
C)CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA HAKUNA JIKO (250K X6)
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI PIA KUNA WATER TANK RESERVE LA KWAKO MWENYEWE
NYUMBA IPO KWENYE FENCE MAZINGIRA TULIVU NA USALAMA FULL PAVING BLOCK
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA