Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


ðððððð ðð ðððððð ðððð ðððð, ðððððððððððð ðððð 5Ãð/
ððð ððð ðð ðððððð ðð
ðððð ðð TABATA KINYEREZI/ ZIMBILI
UMBALI NI MITA 800 TOKA BARABARA KUBWA YA LAMI
NI NYUMBA NZURI YA KISASA
YENYE
Vyumba Viwili vya kulala kimoja ni Master, Sebule Kubwa, Jiko zuri lenye Makabati, Choo/Bafu vya ndani public
Luku inajitegemea
Maji yapo ya bomba
Cars Parking space ipo Kubwa
SURVICE CHURGE NI 20 KWA ZOEZI LOTE MPAKA UPATE NYUMBA,
MALIPO YA dalali_salim_kimara_ubungo NI KODI YA MWEZI 1 KULINGANA NA KIWANGO CHA KODI YA NYUMBA KWA MWEZI
ððð ððððððððððð ðððð/
+255(0)715949085
+255(0)782838336



















