Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#ICE SEBELENI
#LOCATION UBUNGO KIBO DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA