Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#FULL A/c SEBULENI
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU Na METER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE
LOCATION: UBUNGO KIBO
DAKIKA 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
KODI 400,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp