Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA BEI 450k MPYA KABISA MIEZI X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE DK 6 KWA MGUU KUFIKIA BARABARA KUBWA
SIFA YA NYUMBA
#INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER
#SEBRE KUBWA
#JIKO ZURI LA KISASA
#PABLICK TOILET YA NDANI
#MAJI DAWASA YANAFROO NDANI
#DILISHA KIOO
#UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
#NDANI YA FENSI PARK SPEC KUBWA SANA
#0710614924
#0688653940
ELA YA MGUU ERFU 15 BILA KUSAHAU ELA YA MWEZI MMOJA WA DALALI