Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 500K X6 NDUGU WATEJA BEI YA MARA KWANZA NILIKOSEA BEI 500K 
ILIPWE LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER 
#SEBULE KUBWA SANA 
#JIKO ZURI LA KISASA 
#PUBLIC TOILET YA NDANI 
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PEVING BLOCKS SAFI 🚫 
#UMEME LUKU YAKO 
#MAJI MITA YAKO PIA YANAFLOW NDANI 
NYUMBA HII IPO UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI KUTOKA UBUNGO RIVER SAID UKISHUKA UNATEMBEA DK 2
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SINA CHENI NAMALIZA BIASHARA NYUMBA ZA BABA MKWE WANGU IKO WAZI NDUGU MTEJA KARIBU SANA
#0625606710



















