Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location stop over dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 400000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















