Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
NJOO NA MILIONI 7.5 TUU MKONONI
✔️NYUMBA INAUZWA BEI YA KUPEWA MILIONI 7.5 TUU, NYUMBA IPO CHANIKA ZINGIZIWA
✔️INA VYUMBA VIWILI #MASTA VYOTE, CHOO PUBLIC NA JIKO
✔️MAJI NA UMEME VIPO
✔️BEBA HELA KWENYE SHATI NJOO NA PASSPORT SIZE MBILI, TUMALIZE KABLA BANK NA OFISI HAZIJAFUNGWA.
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337