Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


🇹🇿NYUMBA INAUZWA KIBAMBA GOGONI
Umbali mita 700 kutoka Morogoro road unaweza kutembea dakika 15
Vyumba 2 vya kulala viwili master bedrooms sebule jiko stoo na public toilet
Bei Mil. 70 maongezi yapo
Ukubwa wa eneo SQMETER 700
Nyumba imekamilika niyakuhamia tu. Sales agreement kutoka serikali za mtaa
Service Charge 30,000
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp